
Je unajua vile kuku analishwa vyakula vyake? Tulipata mafunzo kadhaa kama group amabayo ni worthy sharing hapa.
Kwa wale mnaotumia mash hebu kuja tuongee.... nimeona wengi wakifanya makosa. Hii mash ni : -Chick mash -Growers mash -Layers mash 1 day old - 2 months old anakula CHICK MASH. 2 months old hadi ianze kutaga mayai inalishwa GROWERS MASH. 3 LAYERS MASH utaanza kuzilisha zinapoanza kutaga mayai. Ukiona mbili tatu zimeanza ku lay eggs hapo ndipo unasitahili uanze kubadilisha hiyo mash pole pole kutoka growers to layers. Kumbuka sio vizuri kubadilisha kampuni (chakula kutoka kampuni moja hadi ingine). Kuna anapoanza kutaga mayai au mwenye anataga mayai kuna antibiotics hausitahili kuzipatia. Some huenda zikakata au simamisha kutaga mayai kwa muda. Unapoenda kununua hiyo chakula (mash) always taja miezi ndipo uweze uuziwa chakula kulingana na kuku zako. Soma label kwa wale mnajua kusoma. Shida hii ya kununua chakula yeyote imewapa wengi hasara more so humu nyumbani ushago. Thanks. Ahsante admin FW