Je wewe umeweza kukata business permit na hii hali mbya ya maishaa mm nimeshindwa kabsaa juu quotation yao inanikalia pesa mingi kufikisha share story yako kama umeweza kukata au la