
@[Jemutai Chibambe] ako ndani ya MESH! Hii ni platform ya young Kenyans in #Biz Hapa hivi opportunities kibao na MESHers hupeana advice, wanna-share skills, wanna-get customers na ku-get jobs!! Tuchapie kwa comments, unachapa hustle gani sahii na ungependa kujengwa na #Community aje?!
#LiveNaJemutai
0
0
0