
🔊#JengwaNaMESHChallenge is Back!! 💪🏿
As always MESH is about Sharing ideas & opportunities!! 🔥 This time, mentor wetu @Kendrick Mulamwah amejitolea kujenga #community. Kama uko na #Biz idea kali, lakini Capital imeku-lemea, Worry NOT, this is your chance. Share na sisi a detailed #Biz idea kwa comments! Top 2 MESHers with the best ideas watapata token ya Ksh 5,000 each ya kujijenga. 💯
Kumbuka, winners watachaguliwa based on the details of the idea. No favourites, kila mtu hapa ako na equal chance!
The time is NOW!! Leggo!🚀🚀
#SisiNiMESH

0
0
0