
🎉 #JengwaNaMESHChallenge ndio plan ya Weekend! 😎
As always MESH is about Sharing ideas & opportunities!! 💪🏿 Mentor wetu @[Ibrahimu Mswahili] akona bonge la offer for the #community. Ukona #Biz idea kali!? Worry NOT, this is your chance. Share na sisi a detailed #Biz idea kwa comments! Top 2 MESHers with the best ideas watapata token ya Ksh 4,000 each ya kujijenga kama starting Capital 💯
Kumbuka, winners watachaguliwa based on the details of the idea.
The time is NOW!!! TWENDEE 🚀 #JengwaNaMESHChallenge

0
0
0