
Jiinue Loan and MESH wamenionyesha dust, imagine I have been applying for Jiinue Loan since 2024 and my fifth loan was 18k, after I paid they stopped giving me the sixth one, reason? They were waiting for Mesh to send my details.
I called severally, they insisted Mesh was the the one delaying na pale WhatsApp mesh ni grey ticks tu, imagine deal ikikitoka ya biz imeivana ivo. Sasa huku wanakutumia link unaanza kujaza upya na ungoje siku utawaipigiwa.
Manze si muambie tu mtu ukweli, hatukupei loan ajipange otherwise si kupeana number ya mtu harespond ama link na mnajua hakuna feedback!
Honesty, integrity na uwazi ni kitu ya kunyima watu jameni?
0
0
0