
Jina ni josphat na mtaa yangu ni mathare..hustle yangu ilikuwa kublend juice alaf naiuza ikiwa packed.unfortunately pandemic ilifika Kenya kazi ikarudi down mahal nlkua nafanya job ikabidi nisimamishwe ju sales zilirudi chini na boss akanshow ataweza kunihost. For now nasaidia kuzo yangu kazi ya kuuza githeri majioni iki fika ananiwai kitu kidogo na mm na save kidogo nakula kidogo ndo ssa nweze kufunzwa biz yangu permanent.
0
0
0