
Jina ya biz ni muhimu sana.
- -Products unauza. Kwa mfano unaeza sema Manoti diaries. So watu watajua nauza maziwa na milk products -Place ya kufanyia biz. E.g Embakasi hardware -Type ya biz. Msee kama Mpesa ni ya kutoa na kuweka doo , cyber cafe , bar & restaurant ...
#NamingYourBiz
0
0
0