Joblessness is a real disaster in our country, Wasee nowadays wanakimbilia biz to save themselves, a friend of mine anataka kuanza biz ya Mtush na ako na capital ya ksh 13,700 mbele nyuma, anaomba ushauri aanzie wapi?