Joshua Wanyonyi ni kama uko na impact kubwa sana hapa Mesh , yaani kila mtu anasema upewe simu. I am also compelled to say that upewe, I hope Team MESH watarespond positively.