Jua venye unaeza lipa tax ukiwa na biz.Tax compliance certificate utaitishwa ukitaka kusupply things in big numbers.Pia ukiapply loan unaeza itishwa