Juh most of the youths ni mastudeh at different Universities na colleges, unaeza anza biz ya kuuza nguo time huna class... unatafuta nguo alafu unazungusha kwa hostels at affordable prizes...plus you have to consider the type of clothes mastudeh hupenda..
0
0
0