
#JuneStockCheck Mimi ni fundi wa computer mimi hufanya repairs za computer so mi hurepair na fixed price tu so huwa naunda 750 per computer tu hata iwe iko destoyed aje...then hununua pia cables zile za wiring na pia huwa nauza kwa wasee wanadai kuinstall moto kwa makeja zao so wire mi huuza permeter so meter moja huuza 90..so unapata kwa siku nmeingiza kitu 3k or 4k so huenda na siku ikiwa poa


0
0
0