
Just a little debate meshers, team super market Kidogo tu expensive but imagine unaweza trace chakula yako from farm hadi fork 🌱🍽️. Uko na full CV ya mboga yako—imekulia wapi, imewekewa nini, nani aliiweka maji. QC iko by default 🤣. Na funny enough, zingine huwa cheaper kuliko mama mboga kwa corner. Meshers, mngechagua hii traceability ama mna-stick na mama mboga tu juu ya credit na gossip za plot? 😅

0
0
0