
Juu mi stock yangu si kitu unaeza kuja ununue uende nayo ama uguze. Si niwashow Ile kitu mi huduu? Stock yangu ni skills zangu🥰. Kazi fisa siku zote bila kulet clients wangu down si hata nyinyi mnaona?🤭. Hata kabanner iko na prices ndio hiyo nimewaekea hapo mkue rada.




0
0
0