
Juzi nikisafiri tukapitia filling station, I was so impressed with the customer service there , every driver & their conductors wanapewa free drinking water, this is a good strategy kufanya mteja arudi tena na tena, as we start this day nawatakia siku njema 🙏
0
0
0