
Juzi tulienda mrando; road trip ilioganiziwa na beste yangu Ken, msee ali budget kila kitu from accomodation, story na food, fuel na ndai, then akaunda ka poster and akashare kwa WhatsApp. Doo yenye aliweka ilikiwa very reasonable saana juu like 90% walikiwa ma stude, meaning inafit budget ya hustla. So baada ya kurudi ndio tukuwa tunachat the whole exercise kama kwake ni hustle ama niaje, and told me he made like 4k for those 2days. Siku feel exploited juu it was worthy it, Made good networks. One the other hand nikacheck vile ma youths wanakuwa creative kutengeza bakes while schooling. #Challenged
0
0
0