Ka comrade hii season ya krisi unaeza open biz ya kuuza icecream na cooler box ama moving carts na face paintings for kids mtaani to earn some extra money