
Ka unajua mseh anafanya art sai amerudishwa nyuma na hi pandemic, wasee wako depressed sana, kuna beshteangu juzi ananiambia vile anadai kujimada ju amekosa hadi food , nabelieve that mental health ni kitu muhimu sana lakini haiongelewi, actually at some point i was almost depressed ju hakuna vile nitapay bills na siko hustle na biz naduu apart from haiwezi toa hadi doh za rent hehe so mnafeel aje kuhusu hi risto wasee?
0
0
0