
Kaa ushai fanya cyber, am sure ushai tengeneza brochures, posters etc, and pia am very sure unajua colour modes kwa design ni mbili:
RGB (Red, Green, Blue) – ya screen
CMYK (Cyan, Magenta, Yellow, Black) – ya print
Btw, if kama hujai notice, ukidesign poster ya print kwa RGB, colours zitaharibika kwa print. You can change the color mode kwa any design software from RGB to CMYK, ndio posters zako zisikae kaa za Riveroad wannabe designers.


0
0
0