
Kachoma-KACHUMBARI, Pilau-KACHUMBARI, Mtura-KACHUMBARI, Smokies-KACHUMBARI, Kamayai-KACHUMBARI.... the list is endless.
But did you know kuna several types of kachumbari? Here is a few zenye najua.
π The kawa one, Tomatoes na Kitunguu π Kachumbari Avocado, my favorite π Carrot + Cabbage Kachumbari π Coconut Kachumbari.
Gani ndio your favorite? Did I forget something? You can add more kwa comment sectionsπππ

0
0
0