
Kakeja kakikuwa hivii sikatacheza?
Poultry farming ni idea nimeona hapa mesh and kuna hadi ile post ilikuwa na details za hii biz. Na hivi ndio nimeanza hii journey pole pole.
Staying from busy hustle za jiji imenifanya ku learn vile wasee uku mtaa u run hustle zao. Kuget hands dirty ni lazima and pia ile zeal yenye iko uku mashinani baaana, with little expenses a little farm activity inakupea good returns na better profit margin.
#FormNiAgri #PoutryFarming #KamradiKwaGround
0
0
0