Kakitu lazima tusave kila siku aleast 50bob tukishapiga biz tunabalance books za accounts alafu tunasave kiasi for emergency. Kwa biashara you neva know what will happen next