
Kam mm nmekuwa affected sana coz bei ya transport imepanda juu nafanya job KISUMU na penye nilikuwa naenda na 100 sàa hii ni 150 so meaning lazima nitumie three hundred KILA siku na job tena tulipewa pay cuts hadi 7800 kuupata nyumba karibu na job hizi nyumba ni ghali sani so inabidi nitembee tu kitu around 7km KILA jioni food pia ni bei juu aki nimechoka sana n hii maisha
0
0
0