Kama biz yako iko na physical location, unafaa kuwa na online presence.
The easiest way kuonekana kwa mtandao ni kuwa listed kwa Google maps.
It is 100% free na ni rahisi sana .
UtaCreate Google my business profile na uweke picha za kazi yako alafu unapin location ndio watu wakupate rahisi.
Once uko listed mtu aki search 'Kinyozi near me pale Google yako itakuwa hapo pamoja na directions na phone number yako.
0
0
0