Kama client, seller akikushow "DM for prices” wewe kwako ukuwa red flag ama una understand ni lugha ya biashara?
Fika kwa comment tusikie your opinions.