
Kama haujawahi interact na scammers na unatamani kuwaskia enda tu kwa any social media platform kama FB , Telegram or Tik Tok then type, " I want to learn and start cryptocurrency and bitcoin business. " Then sit back and relax, utaona vile wezi wanashuka kwako.
0
0
0