
Kama hauna the wind-noise cancelling mic buana ukifanya videos zako sauti inatoka na makelele zingine mingi mingi kwa background. Well, adobe hukua na software ingine free ya kutoa hizo background noises na kufanya ukue na clear sound. Fika https://podcast.adobe.com/e... and upload your voice and then abracadabra boom! Clear sound kama yenye iko recorded in the studio. Noma sana.

0
0
0