
Kama hawker ama retailwr kuna practices hufai kukua nazo..leo tuzingatie hizo negative practices sisi watu wa biashara hufanya.
1.kukosa kua na after salse services wg packaging
2.not keeping records so unapata items zinapotea ama u cant account for them
3 .kukosa kua creative leading to stagnation ta kazi tako.
4.poor time management so unalack behind
0
0
0