
KAMA JUNIOR KWA HII BIZZ YA KINYOZI HOW DO YOU MAKE SURE CUSTOMERS WAMERUDI?
- Be friendly and approachable: Smile, keep eye contact na salimia clients wako warmly.
- Communication is the key: Ongea na clients wako on the process you are going with ndo you make sure you are in the same page.
- Be confident(hata kama uko nervous): hii ni njia poa ya ku gain trust ya customers kuwaonyesha you can deliver a good results.
- Be honest about your limitations: Usi force issues juu ya pesa, kama huwezi nyoa style flani ni vizuri kuambia customer kwa njia inayo faa remember we are all learning how to satisfy our customers.
- Take notes: keep records from your customers feedback.

0
0
0