
Kama kawaida 2PM sharp tutakua live ndani ya #MESHKonnect Live. Leo tunabonga na #MESHers wawili wako sawa na mambo za #Carpentry na vile wana-run #Biz zao.ππ
This week Captain wetu @[Captain Ashok] π― ana host @[GEORGE MTAMA] na @[Rama Murila] na tunabonga juu ya;
- Vile walianzisha Biz zao. -Si lazima ukuwe na #Capital mob ya Biz. -#Challenges na #Solutions kwa Biz. -Vile unafaa manage ku #Manage #Customers.
Tune in Tujengane! ππΏππΏ
#StartUP #ShujaazBiz
0
0
0