
Kama kuna biz inezafanya usikose pesa mfukoni hata kama ni kidogo,ni hizi bizna wasee hudhaeau ati ni ndogo na chafu. The like sof kuuza mayai hata kama ziko fragile,kuuza makaa/briquettes hata kama ina uchafu,kupanda mboga haoo base hata kama wanasemaga ukulima ni job ya wazee na wasio soma. Jaribu tu kidogo ushtuke,boost ya loan mabadae husaidia sana.

0
0
0