Kama kuna kitu itazamisha ⚓ biz yako faster than the titanic 🚢 ni kukopeshana. Na hakuna watu tricky ku-deal nao ka mabeshte.
They are the first to patronise your new biz and the ones to ask you for discounted prices and credit.
''Lakini mimi utaniuzia na ile bei yetu...''
''Na sasa, mtu kama mimi utaniuzia aje...?''
Hiyo kuzoeana ndio ngori. Pesa haitaki ma-feelings, kama ni biz we exchange value for value. I trade you goods/services for money.
Don't be a people-pleaser, set clear boundaries. For credit come tomorrow!
0
0
0