
Kama kuna kitu nime learn through time ni; catch-up na trend ama biz i'faceout. Nikianza biz kuna products ama services zilikuwa zina sale mbaya sana, the same can't be said now. So over reliance ya avenue moja kwa biz ni risk sana. Options niku advance na vile times zinacome. #Biz #Hustle #Tips #ShujaazTalk #ShujaazBiz
0
0
0