
Kama MaYouths..There is a part of Our Incomes..from our hustles where we go wrong,,either kwa kujua au kutojua.....Irrespective na income tunaget kutoka kwa Hustle zetu....SAVINGS ni Kitu cha Muhimu Sana Jamaa.....Whether ten bob or two hundred Its worth it than kuspend income yote kwa food,luku na kulipa keja...tuingie chama kwa wingi io pesa ukiget Save jo....atujui keshw kutakua aje juu ya leo tushajua....siku hazifanani jamaa....Tukijizoesha Kusave We will never have regrets about our Future life and its uncertainties..hii ni Advice yangu kwetu sisi wote maYouths.Above All Tuweke bidii na MUNGU mbele kwa kila jambo tunafanya.....Nice hustles and advices #Team_Meshers
0
0
0