Kama mimi biz yagu ni kuuza gas sai nipate hiyo 10k nitamake sure ni me add stock Ata kama ni mitungi Tatu ya gas hapo najua itarudi ikiwa double