
Kama msee wa kuuza kwa duka ni poa ujue how to make this things work well for us. Unajua si poa kusumbuana na kanjo kuhusu place of work yako. Ukishapata license make sure you also make the place clean and tidy. Lastly hakikisha pia you entertain your customers too by using a good language,smiling mostly and also thanking them for coming to shop. Hii rapport itawafanya wakuje tena na tena hence keeping them for you
0
0
0