
Kama mtu wa biashara unaeza jipata na madeni mob..here are some tips zitakusaidia kuepuka madeni na losses kwa bizna yako;
1.Good payment terms _unafaa kua na njia safe kama vile mpesa paybill ama till number to avoid being scammed.
2.Good accounts _kama mtu wa biashara unafaa kua na record of how umetumia pesa na kila kitu kwa biashara ikue accounted for.
3.budget_ unafaa kua na budget yako when it comes to spending money to avoid overspending..pia itakusaidia kukua na good cashflow inspection.
4.loan or debt terms _kama umeamua kupea customer vitu with loans lazma ukie na mikakati ya venye italipwa na pia jinsi ya kujua kama customer ni trust worthy.
5.invest your profit _unaeza amua pia kuexpand business ikupee more chances of increasing your sales and profit.
#meshlife