
Kama mwanabiashara, jifunze kukua flexible, such that unaeza uza vitu flani kulingana na msimu, like for now wasee wa Mtush wengi wanauza vitu za back to school kama bedsheets, school bags among other things which ziko on demand this period. Be flexible kwa biz yako 👊
0
0
0