Kama mwenye biashara, wewendio boss wa kazi yako.
Decisions zote zinapitia thru wewe.
Deals zote lazima u-approve.
Withdrawals na transactions zote lazima u-sign. Signature yako ndio mambo yote....
Lakini nani huhakikisha kwamba hautumii powers zako vibaya?
Uko na multiple signatories? Eti kabla pesa itoke kwa bank, watu kadhaa ndio wana-approve, si wewe pekee?
Many CEOs wameandika a board, over themselves. To keep them in check. Ku-maintain checks and balances over the company. Ku-regulate excesses.
So next time mtu akuite bosi, ask yourself who is tasked with regulating you?
Juu, it's human to go overboard and you might be tempted to overdraw, overspend and in the process bankrupt the company/business all together.
0
0
0