Kama poster yako iko na fonts zaidi ya tatu, kuna shida.
Font moja ya title Ya Subtitles
Moja ya body
Basi Zikianza kuwa tano, ni kama umemix outfit ya wedding na gym. Usichoke na simple—it’s what sells.
0