
Kama sio TikTok content creators kama Azziad and Moya David hawangetoka block tungekua tunalia shida pamoja. Your timeline hukua based on your likes, kama unapenda dancing, timeline itakurecommendia dances, kama wewe ni mtu wa tech, your timeline itakua about tech related stuff, lakini kama unapenda usherati buana your timeline itakaa Sodom and Gomorrah.
Sisi watu wa kanisa huingia tiktok ju ya good informative things, hio mambo ya usherati unless wewe you search it haitajileta tu fwaa. Hio petition ya banning tik tok in Kenya hainingii vipoa. Ata Sakaja, Ichungwa etc ni politicians nawako tiktok wakitupea updates and other greatness. Ama nyinyi huona hizo usherati za tiktok mkiwa unwilling??

0
0
0