
Kama uko na access ya shamba mahali haijalishi how big it is, panda some trees alafu we uishie. Ipatie miaka ka tatu na utakua na a source of income ju wasee wengi wamerudia firewood, usikate for charcoal ju in another six years utaeza uza for wood. Nlifanya ivo na miti 16 na sa nauzia shule flani kuni pale ushago.
0
0
0