Kama uko na biashara ya cosmetics instead of taking your stock,sales and customer debts manually which ni stressing na huchukua time use a simple mobile solution #BiasharaBook checki vile biz ina perform ata kama ni side hustle.