
Kama uko na pressure ya ku-post kila siku na bado kuweka quality content, hapa ndio consistency inakam. Lakini quality over quantity any day. Rather than ku-post kila kitu, chukua time kuedit na ku-polish ile content yako. Time ni shida? Jaribu batching! Create content for a week or two kwa siku moja, then post pole pole. Hakuna stress na bado unakaa consistent. Saa zingine ni discipline, na sio creativity tu

0
0
0