Kama uko na till number unaweza kuiconfigure itumie customer a thank you message akilipa, kama unadai nishtue tuongee biashara. Ni one time setup wewe ni domain tu utakuwa unarenew yearly.