
Kama uko NAIROBI hizi area, hii GIG ni yako!
Unilever na MESH wanakuletea opportunity ya kuwa part-time UNILEVER SALES AGENT in NAIROBI:
Tassia & Nyayo Estate, Pipeline, Donholm, Umoja, Utawala, Imara Daima, South B, Dandora, Syokimau, Buruburu, Kariobangi, Mukuru kwa Reuben, Mukuru kwa Njenga.
Share na friends pia! APPLY Now.👇 https://mesh.life/app/oppor...

0
0
0