
Kama uko Nairobi na unafeel ku-explore kitu fiti, fika huko Museum of Illusions Laxcon Court, Parklands. Entrance ni 1500 bob, huku ndio utapatana na mad exhibits na mind-blowing illusions, perspective-changing rooms, na spellbinding installations. Perfect spot ya ku-inspire creativity na pia kupata content utese nazo kwa mtandao. I think pia ni place poa for a date, wacheni mimi nitafute mutu pia twende huko Illusions




0
0
0