Kama uko season ya kusota 😔, usikonde. Jipe nguvu, hii ndio season ya maisha yako yenye itaku-shape. Season ya hard lessons, will teach you how to better manage your finances, itakufanya sugu and resilient able to handle any challenge that comes your way.
0
0
0