Kama ukona dooh na huna idea mahali unaeza invest unaeza weka kwa money market fund(many hukua na interest ya 10% per year) kuliko kusave tu ikuliwe na inflation.